Ombi Langu
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Ombi Langu - Ambwene Mwasongwe
...
Huuapia moyo
Nitakulinda
Maana najua kwako
Kuna chemichemi
Nitakujengea boma uwe salama
Adui akija asikuweze
Usiruhusu maneno yakuvuruge
Usiruhusu hasira ikae kwako
Namuweka mlinzi awe ngome yako
Akupiganie ubaki salama
see lyrics >>Similar Songs
More from Ambwene Mwasongwe
Listen to Ambwene Mwasongwe Ombi Langu MP3 song. Ombi Langu song from album Ombi Langu is released in 2021. The duration of song is 00:05:54. The song is sung by Ambwene Mwasongwe.
Related Tags: Ombi Langu, Ombi Langu song, Ombi Langu MP3 song, Ombi Langu MP3, download Ombi Langu song, Ombi Langu song, Ombi Langu Ombi Langu song, Ombi Langu song by Ambwene Mwasongwe, Ombi Langu song download, download Ombi Langu MP3 song
Comments (69)
New Comments(69)
favour Manasseh #@
Abduhalim msolopa
Mungu tuepushe na watesi wetu
Jmsl4yu2
amen
Kamala I
Uwanakukubli
Marinajj7fx
Bwana naomba utete nao wanaoteta nami
Freiss
MUNGU AKUPE KUBAKI KWENYE VIWANGO MTUMISHI , HILI LIWE OMBI LAKO
IlungaAnna
nisirusu maneno yani vurunge
Deleted User
Ubalikiwe
ezedesant#
mungu akubariki sana mtumishi
Suzana Edward mwimanzi
kweli ni ombi langu
Fredrick zepherine
Ubarikiweee
Jofley Mwarusha
saf umetisha, ,
helling song