
Jina La Yesu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Jina La Yesu - Fanuel Sedekia
...
Jina la Yesu ni ngome yangu,nitamkapo jina hilo ngome nyingine sina×2
Jina lenye uwezo ni jina la Yesu,nitamkapo jina hilo ngome nyingne sina×2
Jina linaokoa n jina la Yesu,jina linaponya n jina la Yesu.
CHORUS
hehehe