![Nataka Nimjue Yesu](https://source.boomplaymusic.com/group2/M01/08/58/rBEeM1qmOv6AFt4oAADLYVjoSfs514.jpg)
Nataka Nimjue Yesu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2013
Lyrics
Nataka Nimjue Yesu - Fanuel Sedekia.
...
Nataka nimjue yesu na nizidi kumfahamu nijue pendo lake naa wokovu wake kamili.
Zaidi zaidi nimfahamu Yesu nijue pendo lake naa wokovu wake kamili.
Nataka niione Yesu na nizidi kuusikia anenapo nitaburi kujithihirisha kwangu.
Zaidi zaidi nimfahamu Yesu(nijue pendo lake naa wokovu wake kamili.
Nataka niifahamu naa nizidi kuupambanua ,,mapenzi yake nifanye yale yanayompendenza .
zaidi zaidi nimfahamu Yesu nijue pendo lake naa wokovu wake kamili.
Nataka niikae naye kwa mazugumzo zaidi nizidi kuwaonyesha wengine wokovu wake.
zaidi zaidi nimfahamu Yesu nijue pendo lake naa wokovu wake kamili(*6)