![Mbele Ninaendelea](https://source.boomplaymusic.com/group2/M01/08/58/rBEeM1qmOv6AFt4oAADLYVjoSfs514.jpg)
Mbele Ninaendelea Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2013
Lyrics
Mbele Ninaendelea - Fanuel Sedekia.
...
Mbele ninaendelea
ninazidi kutembea
maombi uya yasikie
eeh bwana unipandishe
(chorus..Eeh bwana uniinue
kwa imani nisimame
nipande milima yote
eeh bwana unipandishe)
Sinatamani nikae
mahali pa shaka kamwe
wapo wengi wanakaa
kuendelea naomba
(Eeh bwana uniinue......)
Nisikae duniani
nimahali pa shetani
na tazamia mbinguni
nitafika na imani
(Eeh Bwana uniinue......)
Nataka nipandishwe
juu zaidi yale mawingu
nitaomba nifikishwe
eeh bwana unipandishe
(Eeh bwana uniinue .........)