Kweli Pasipo Maono Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Kweli Pasipo Maono - Rose Muhando
...
(Asante Jehovah,Elshadai, Jehovah shalom, unastahili wewe, unastahili Jehovah, hallelujah! hallelujah Jehovah, hallelujah)
kweli pa-sipo maono taifa huangamia
na pa-sipo mashauri taifa huangukaa ×2
Naiombea nchi yangu rehema kwako mungu×2
Eeh mungu, mbona hasira yako inawaka kama Moto,ulikumbuke kusanyiko lako,ulilolii-nua kwa damu, ninaungama dhambi zaaaangu na dhambi zoote za nchi yangu
kweli pa-sipo maono taifa huangamia na pa-sipo mashauri taifa huangukaa×2
Naiombea nchi yangu rehema kwako mungu×2
magonjwa mengiii, tena ya hatari yameikumba taifa langu, uvutaji bangi, madawa ya kulevya yameharibu vijana wengiii,
Eeeeh mungu tenda kwa wema wako ukaliponye taifa langu, katika wingii wa gadhabu yakoo, ah! eeh mungu kumbuka reheeemaa.
kweli pa-sipo maono taifa huangamia na pa-sipo mashauri taifa huangukaaa×2
Naiombea nchi yangu rehema kwako mungu×2
maadili yametowekaa, ustaharabu umepoteaa, makanisani kunanuka rushwa, upendo wa mungu haupo tenaa,
misikitini hakusemeki, mambo mengi yanatokeaaa, Eeeeh mungu japokua wingi wa maovu yetuu washuhudiaa mbele zakoo, lakini weeewe, tenda bwaana ukaliponye na nchi yaangu
kweli pa-sipo maono taifa huangamia na pa-sipo mashauri taifa huangukaa×2
Naiombea nchi yangu rehema kwako mungu×2
iponye na mipaka yangu
Naiombea nchi yangu rehema kwako mungu
Nawaleta vijana wote
Naiombea nchi yangu rehema kwako mungu
Nawaleta wababa kwakoo
Naiombea nchi yangu rehema kwako mungu
Nawaombea wachungaaaji
Naiombea nchi yangu rehema kwako mungu
Nawaleta na waimbaaji
Naiombea nchi yangu rehema kwako mungu
Nawaleta vijana kwakoo
Naiombea nchi yangu rehema kwako mungu
Wasaidie viongoozz
Naiombea nchi yangu rehema kwako mungu
Iponye na magonjwa yooote
Naiombea nchi yangu rehema kwako mungu
Wewe mungu uinuliwee
Naiombea nchi yangu rehema kwako mungu
Nawaombea wafanya biashara wakukumbuke bwana
Naiombea nchi yangu rehema kwako mungu
Usichukie ju Yao Baba
Naiombea nchi yangu rehema kwako mungu
Nawaeka mikononi watoto wetu
Naiombea nchi yangu rehema kwako mungu
Baba nina waombea, mungu naomba rehema kwa nchi yao
Naiombea nchi yangu rehema kwako mungu
Nikweli mungu tumekutenda dhambi, hatukutenda kwa jinsi vile mungu ulivyo taka
Naiombea nchi yangu rehema kwako mungu
Tumetenda Baba, tumeyatendaa wenyewee, mungu tumefanya uzinzi mbele ya macho yako
Naiombea nchi yangu rehema kwako mungu
mungu nyosha mkono wako wa rehema, mungu wetu usinyamaze kimya , Baba tazama watoto wako ponya kwa upole, wasaidie Baba, bila wewe hatuezi, bila wewe hatuezi kua na viongoozi wazuri
Naiombea nchi yangu rehema kwako mungu
hallelujah Jehovah, tunaiombea nchi yetu bwana,ibariki nchi yetu, na viongoozi wetu
Naiombea nchi yangu rehema kwako munguuuu