![Patamu](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/14/93d0138749144028a0d223a2e26affa9_464_464.jpeg)
Patamu Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Patamu - Ronze (TZ)
...
( Mmmmh)
Yan ujanja sina nabaki kulia akienda kushoto
penzi mzani kalipima anipa ujazo kindoo cha
Korosho
(Aaah)
nkilaza kifua kidogo ajipumzishaga kwa nyodo
Mara maji anikande mgongo na me
namchezesha misondo
Nasinzia (sinziii )
Naingia (siingiiii)
Najiibia (mwiziii)
Najilindia (ziziii)
Aaaaah eeeh patamu
Aaaah eeeh patamu
Aaah sitoki hapa ( patamu )
Mmmh aaaah eeh ( patamu)
Aaah eeeh patamu
Aaah eeeh patamu
Aaaah sitoki hapa ( patamu )
Mmmmh aaaah eeeh (patamu)
Bebe bubu bwege zuzu
iwe ndeeege au mdudu unibebeee Jujuuu
wakishemea abari sina
Siunajua mapenzi mzizi ndo unafata shina
Nasinzia (sinziiiiiii)
Naingiaaaa ( singiiiii)
Najiiibia ( mwiziii)
Najilindia ( ziziiii)
Aaaaah eeeeeh ( patamu)
Aaaaaah eeeh ( patamuu )
Aaah sitoki hapa (patamu)
Mmmmmmh aaah eeeh (patamuuu)
Aaaaah eeeh ( patamu)
Aaaaah eeeh (patamu )
Aaaaah sitoki hapa ( patamu )
Mmmmmh aaah eeeh (patamu) ...