![Umenibamba](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/08/23/c13989bcf4054bbd9d382d8489aff014.jpeg)
Umenibamba Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Umenibamba - Ronze (TZ)
...
aaah katu katu tusije sarenda me nawe kile kiapo chetu uuh tutunze ajendaaa unajua mapenz dili sanaa ndio manaa aaah hutunzwa kwa pesa nyingi sanaa na hushindikanaa aaaah baby oooh mwenzio kwako ninajiponea wananiona nanona kwa penzi hayaaa nafsi imekuridhia baby oooh baby ooh nipe nkutibu na upone mileleee na mileeeee eeeeh umenibambaaaa..... umenibambaa