![Na Wewe](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/19/529189cbf52d4cf68f4d905a25772260_464_464.jpg)
Na Wewe Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Na Wewe - Ronze (TZ)
...
RONZE
NA WEWE
mmmh mmmhh
lalolol...
beat killer..
sheee mmmh
what time where you go ni morning alfajiriii
somebody call all stars the bigger alfadriii
Baby are you GUCCI ADIDAS
nachoshukuru haunikuni hauniwashi
our wed iwe fave how much
kama MORINYO me kabisa npakii basii..
We kama kuzikanaa
ntakua muongo nikisema nzikwe NA WEWE
ila ninachomuomba maulanaaa
asinitenganishe NA WEWE
na kama kugombanaa
hata vikombe kwa kabati vina go nga na
ila nachomuomba maulanaa
asinigombanishe na wewe ntaliaaa ntaliaaa..
NA WEWE(×3)
Nakama kudondokaa nidondoke na wee aah
NA WEWE oloololo(×3)
Na kama kusimamaa nisimame na wee mmh...
Your my boo my queen my future
nachoshukuru wakikuomba unaifichaa
your my Facebook ,IG ,my Tweeter
hata ukinipost hauniweki mastiker
Umesomea maana kwa mapenzii umeebobeaa
kutwa linazidi penzii nikoleaa
penzi limetuma nayakutolea
We kama kuzikaana
ntakua muongo nkisema nzikwe NA WEWE
ila nnachomuomba maulaana
asinitenganishe NA WEWE
na kama kugombaana
hata vikombe kwa kabati vina go nga na
ila nnachomuomba maulanaa
asinigombanishee na wewe ntaliaa ntaliaa...
NA WEWE (×3)
Na kama kudondoka nidondoke na wee aah
NA WEWE oloololo (×3)
Na kama kusimama nisimame na wee tuu....