![Dawa](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/23/5b9a9be18a6d4fe4a24a4f5409eb9c09_464_464.jpeg)
Dawa Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Dawa - Ronze (TZ)
...
Dawa
Dawaa
Oh mama ongeza
Tena wajue ndo umeniweza ah
Uyapunguzi kuyaendeza
Ubinadamu ni kuteleza
Ata kama ukinkosea sema am sorry
Aiiy wewe
Hiyo ndo tiba yangu (aaah)
Hiyo ndo tiba yangu (aaaah)
Na si unajua mwenzako nna moyo mdogo
Sijazoea maumivu
Na kama nikiteleza ntakuomba radhi
Unisamehe
Ikija mvua baridi sijazoea msoto
Nitakosa utulivu
Utanipa presha utanikondesha nisiponee
We yangu dawa (dawaa)
Oh baby dawa (dawaa)
We yangu dawa (dawaa)
Oh baby dawa (dawaa)
We yangu dawa (dawaa)
Ooh baby dawaa (dawaa)
We yangu dawa (dawaa)
Oh baby dawa (dawaa)
Siamini kuteseka ikiwa wewe upo
Moyo wangu mateka mi mtumwa wako
Oh baby nikokote nikokote
Unipeleke unavyotaka nipeleke
Wanidondoshe uniokote
Mi kwako kinda yani bado mtekemteke
Si unajua mwenzako nna moyo mdogo
Sijazoea maumivu
Na kama nikiteleza ntakuomba radhi
Unisamehe
Ikija mvua baridi sijazoea msoto
Nitakosa utulivu
Utanipa presha utanikondesha nisiponee
We yangu dawa (dawaa)
Oh baby dawa (dawaa)
We yangu dawa (dawaa)
Oh baby dawa (dawaa)
We yangu dawa (dawaa)
Ooh baby dawaa (dawaa)
We yangu dawa (dawaa)
Oh baby dawa (dawaa)
Si unajua mwenzako nna moyo mdogo
Oh mama ongeza
Dawa