![Hatutaki ft. Shilole](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/06/15/223db640bd7648f5a8e1ca4a1fd2e869.jpg)
Hatutaki ft. Shilole Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Hatutaki ft. Shilole - Ronze (TZ)
...
Yah ronzeee
Shishi bebeee
…..hatutaki….hatutaki…
Hatu hatu hatutaki…Gachi b
Mambo yakubembelezana
……siku izi hatutak
Kujifanya we ndounanijuaga sana
…….siku izi hatutaki
Nalipa pango na haunigei kati
…….siku izi hatutaki
Naombeni mchango wa birthday party
…….siku izi hatutaki…aiboo eeh hatutaki eh
……..siku izi hatutaki odadada
Hatutaki oh…siku izi hatutaki
Unataka kutrend kupitia shishi bebe
…..siku izi hatutaki
Tumewakwepa wameanguka hatuwabebi
…….sikuizi hatutaki
Jamani pole wanaopenda mselekeko
……..siku izi hatutaki
Kutembea kwa miguu walizoea mbele
………siku izi hatutaki..aiboo hatutaki
Wote wote siku izi hatutaki
Me naronze nasema hatutaki