Bado ft. Mabantu Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Bado ft. Mabantu - Ronze (TZ)
...
Huo mchezo wa kupendana
Nimewachia vijana
Huo mchezo wa kupendana
Mimi nimewachia vijana
Nimeyakataa
Nimeyakataa
Kwanza mapenzi Zambi mapenzi ungese mazafanta
Bora nimpende mwanangu na wazazi na chapaa
Wakunipenda hajazaliwa bado
Hajazaliwa bado
Wakunipenda hajazaliwa bado
Labda Wakunipenda hajazaliwa bado
Bado bado (hajazaliwa bado)
Bado bado (Wakunipenda hajazaliwa bado)
Bado bado (Labda hajazaliwa bado)
Hajazaliwa bado
Huo mchezo wa kupendana
Mimi nimewachia vijana
Huo mchezo wa kupendana
Nimewachia vijana
We umelogwa, unanipenda hivi umelogwa
Unanitaka hivi umelogwa
Eti nakupenda we umelogwa?
Nina valuvalu, so mi staki valu valu
Nina valuvalu, so mi staki valu valu, valu valu
Hajazaliwa bado
Wakunipenda hajazaliwa bado
Bado bado (hajazaliwa bado)
Bado bado (Wakunipenda hajazaliwa bado)
Bado bado (Labda hajazaliwa bado)
Hajazaliwa bado
Mwenzenu sina hamu, sina ham
Mapenzi yamenishinda (yamenishinda)
Ni sina sina sina sina ham
Mapenzi nimeyakataa (nimeyakataa)
Nimeyakataa
Nimeyakataa
Leta pombe nitalewa
Leta shisha nitalewa
Leta ganja nitalewa
Ila mapenzi nachelewa, coz
Hajazaliwa bado
Wakunipenda hajazaliwa bado
Bado bado (hajazaliwa bado)
Bado bado (Wakunipenda hajazaliwa bado)
Bado bado (Labda hajazaliwa bado)
Hajazaliwa bado