![Amenishika ft. Dayoo](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/07/26/d4da655841504249a47d61ebfc36beaeH464W464_464_464.jpg)
Amenishika ft. Dayoo Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2024
Lyrics
Amenishika ft. Dayoo - Ronze (TZ)
...
Oyaaaah!!! si eti again...
Aaah!! aaaah!!! (Si eti eeeh)
Shikaaa...
VERSE 1(Dayoo)
Walisema umenishika
Etii unanipelekesha(mmmh)
Mbona Bado hawajasema
Maana round hii kapanga kuniteketeza
Onaa..
Alafu huyuuu!! huyuuu!!
Yuko tofauti na wengine
Yani labda muzikwe, mufufuke
Ama wazaliiwe wengine
Yani vile nafeel, sio rahisi
Mtapata baridi, kutujaji
Yani vile nafeel, sio rahisi
Mtapata baridi ..... mmmh!!
CHORUS (Ronze)
Amenishika huyu......(Mmmh!)
Amenishika huyu......(Mmmh)
Amenishika huyu.... (Ooh!! noo! mmh!)
Amenishika huyu
Aaah!! aaah!! uuuuuh!!
VERSE 2(Ronze)
Wanasema umenifunga funga fungaa
Umeniweka ndani baby iiih
Kwenye moyo nipe chumba mchumba
Wasinione majirani
Na hata kama Akinambia Mungu
Alete wengine awapange mafungu
Sitochagua yeyote nitabaki na huyu
Na huyu
Nitabaki na huyu
Yani vile nafeel
Sio rahisi
mtapata baridi
Kutudadisi
Yani vile nafeel
Sio rahisi
mtapata baridi
CHORUS (Ronze)
Amenishika huyu......(Mmmh!)
Amenishika huyu......(Mmmmh)
Amenishika huyu.... (Ooh!! noo! mmh!)
Amenishika huyu
Instrumental.....