Haniachi Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Haniachi - Ronze (TZ)
...
Haniachi ananipenda nami nampenda tunapendanaa
Mr lg
Mimi hanichoki akinifumania atanikumbatia
Mtoto wamtu nimekwisha jamani nimeshikwa
Yule pale nampendaa
Na anavyotaka sifa sijasema anafanya
Mi sijaomba ananipa sita kwa sita my baby
Na amesema haniachi ananipenda
Nami nampenda tunapendanaa
Na akasema mimi hanichoki
Akinifumania atanikumbatia
Sio yeye moyo ndo umesema (hayoo hayoo hayoo)
Sio yeye moyo ndo umesema (hayoo hayoo hayoo)
Mi nasema nayee siwezi kugombana nae
Tunalia kwa mapenzi sauti za mapenzii
Usiku tulivu ni wewe tu unaning'ang'ania
Manyunyu ya mvua unanikumbatia
Na amesema haniachi ananipenda
Nami nampenda tunapendanaa
Na akasema mimi hanichoki
Akinifumania atanikumbatia
Sio yeye moyo ndo umesema (hayoo hayoo hayoo)
Sio yeye moyo ndo umesema (hayoo hayoo hayoo)