Nazama Natoka Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2022
Lyrics
Nazama Natoka - PRINCE LUCKY
...
Beby tufanye kungwi siri zote nikuambie.....Ama kasuku ndege nyimbo nzuri nikuimbie......Sina nguvusipingi hata ukueleza nitafune Kama njiwa unifuge ili kwako nitulie...eeh..ukikamata natetemeka michezo napendaga..aaeh Kama asali kulambalamba kwa pato natetema...(tetema)..Kando Kati napitapita na wewe ukimimina aaeh Kama nyoka nateleza kwenye tundu lake.. aaeh (nazama natoka) yaani mzimamzima natumbukia bila msosi (nazama natoka)nikizidiwa habari za ndani nyanyua..aaeh
Mmmh si Kama yule wa zamani alivyonikomoa nishampata karaha ananichanganya na vile anavyonipepetapepeta kwa chini fundi kupimia.. kiwanjani naye naenjoy anapenda