Kata Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2021
Lyrics
Kata - PRINCE LUCKY
...
aiyeeee aaah lucky princo Leo ndo Leo wangwana Leo ndo Leo tunaifanya Leo ndo Leo wangwana,najua mumengoja sana siku hizi kila kitu wala siposti, ya nini niwadanganye mie ukiishi ng'ang'ana vitakucosti,makasiriko usiyalete kwangu,mimi bado najienjoy mungu ashanifungulia sina stress mtoto ashanipa yule Mali safi,eti wanasema najigamba najidai eeeehnee ateeee katoto kameivana ananihakadi kanalamba lipsi ,kiuno shanga kakikutazama macho ya upole jua kanaikokota asa pinda mgongo kama kijiko,beiby dance (kata katika ,ooh my baby kata katika ka kiuno Kako ni Kali)× 3 unibembe mgongoni ,vidole chini kama unachuchuma kama huwezani iweke stendi mi nakuchota