Siwezi Kusahau Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Siwezi Kusahau - PRINCE LUCKY
...
Aaaaaiyeee
vinox records
lucky prince* oooh
aaaaaiyeee
helow helow
mambo vipi kweli bado uko salama
nimehisi lleo nikucheki
ni lucky bado nami mzima
ila kweli nimekumisii
nimejaribu sana kuwinda kupenda
ila bado haitegekii
jua likizama bado namwomba mola
basi ikiweza urudi eeeh
ila ssina choyoo
kwa moyo wangu bado upoo ah
japo najua kwingine ulishapenda
na valentine ulimpostii maaah
ila si tatizoo hisia zangu kama zipoo
ujue mmii kwingine sitapenda
bado mie nakukumbukaa
siwezi kusahauu
siwezi kusahauu uuuh uuhh
na siwezi kusahauu
siwezi kusahauu uuuh uuhh
****************************
mmmmmmh mmmmmh yeee
mwenda tezi omo marejeo ngamani
walisema wa zamaniii
husije fuata jina Kisha na mali
ukajiweka taabanii
ulionaje hamwendani
husije ukatesa kisasii
siwezi kutaja wahamishe sarakasi
rudi nionyeshe hadharanii
hata wajipake maskara ,vipodosi
bado hawakuwezi kwa vipozi
kwa snapchat wanaishi kwa ma filters
hawajui kwako kienyejii eeeeii
ila sina choyoo
kwa moyo wangu bado upoo
japo najua kwingine ulishapenda
na valentine ulimpostii naaah
ila sii tatizoo hisia zangu kama zipoo
ujue mii kwingine sitapenda
bado mie nakukumbukaa
aayayaeeeh
siwezi kusahauu (eeeeei,, siwezi mamaah)
siwezi kusahauu uuuh uuhh (eeeh moyo wangu unavuja damu maanah)
siwezi kusahauu uuuh uuhh (mi bado nakutamani mwenzieeeh)
siwezi kusahauu uuuh (aaah basi ikiweza urudi beibii eeh)
ikiweza rudi beibii
eeh rudi beibii eeeh eeh eeh
eeeeeeh yoyo
na isipoweeza basi
nakupmbea memaa
eeeh iii eeh
lyrics by koskei kipronoh