Penzi Tamu Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2023
Lyrics
Penzi Tamu - PRINCE LUCKY
...
Kama mapenzi vita
Kwako me nipo tayari
Hata nife mara sita
Kukuacha sidhani
Me kwako nimeshafika
Mwingine wala sitaki
We kalamu nami wino, penzi
Tumelitick,
Ee eh Eeyah!
Ananipa hisia
Kisura cha kisomali
Akinitazama chizi
Akili kichwani
Na shepu la kutishia
Ana kipuli puani
Na sauti ya kwake laini
Kwenye giza naenjoy
Oh Mama eh ah!
Penzi la kwetu tamu Mwaah! Mwaah!
Penzi la kwetu tamu Mwaah! Mwaah!
Penzi la kwetu tamu Mwaah! Mwaah!
Penzi la kwetu tamu Mwaah! Mwaah!
Na sio chocha kitaani wambie,
Penzi ndo tumeliwashaa
Hata na wanga wajue
Hakuna wakututisha
Mola kashalipitisha
kanionyesha nilipambe eh
Nisiwe na presha
mapenzi sio mapepe
Eh!
Utamu wake me naujua
Hata kuwe na giza ama jua
Harufu yake me naijua
Hata nikiwa ndotoni
Ayayayah!
Ananipa hisia
kisura cha kisomali
Akinitazama chizi
Akili kichwani
Na shepu la kutishia
Ana kipuli puani
Na sauti ya kwake laini
Kwenye giza naenjoy
Oh Mama eh ah!
Penzi la kwetu tamu Mwaah! Mwaah!
(Yaani tuaEnjoy iiih)
Penzi la kwetu tamu Mwaah! Mwaah!
(Eh! wala hatuna pressure Pressure)
Penzi la kwetu tamu Mwaah! Mwaah!
(La kwetu wawili tu ayeh! )
Penzi la kwetu tamu Mwaah! Mwaah!
Utamu wake me naujua
Hata kuwe na giza ama jua
Harufu yake me naijua
Hata nikiwa ndotoni
Ayayayah!
Penzi la kwetu tamu Mwaah! Mwaah!
(Yaani tuaEnjoy iiih)
Penzi la kwetu tamu Mwaah! Mwaah!
(Eh! wala hatuna pressure Pressure)
Penzi la kwetu tamu Mwaah! Mwaah!
(La kwetu wawili tu ayeh! )
Penzi la kwetu tamu Mwaah! Mwaah!