Show Me Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2021
Lyrics
Show Me - PRINCE LUCKY
...
....ni lucky quensooo........vinox records
naomba kidogo niseme nawe,
malingo kando mimi nakudai,
toka kitambo nakuona yeye,
mmmh sijaona mwingine yaani kama wewe,
sikutambui usha nipe yege,
jini vile ulivyo shona yeee,
mmmh kubitisha kwa mabano utanipenda eeh,
sio siri sio kujikamba,
na usipe kisogo nakutaka wewe,
mastingo kimaski ronaldo,
macho sexi kama mobeto,
we ni mali safi kama lilimo,
kiuno fire kama nasenyaa,
me naomba nikichambuee,
iii!fanya kama unajutama,(aaah)
shika magoti,(aaah)
tingisha kulia,
kushoto mpaka chini,
inuka kama unateguka
shika kiuno,(aah)
nionyeshe basi unavyo kizungusha,
yeyeee,
(nionyeshee)show me show me
show me what you can ebu tigisha nione×2
eeeh,,,
eeeah!!
eeeh
chii,,,
bandika bandua,
usitie mchanga kitumbua,
ebu tulia sasambua,
shika ukuta mama sugua,
eeei!
akamwana kamemtega eeh,
naomba kidogo nisambulie,
kanafanya bure tunacheka,