Nimependwa Tena Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2023
Lyrics
Nimependwa Tena - PRINCE LUCKY
...
Sshii! Aiyeh
Lucky Prince ooh
Oooh oh uuh!
Ona, mwenzenu nimependwa tena
Oouh,
Hadi kuhema nashindwa
Eeeh
Amenilewesha na penzi,
hata nikiumwa napona
Ona mwenzenu naEnjoy
Kama mtoto
Nisipokula ni kesi
Ama nikipata baridi
Kifuani ananifarijii
Kwenye joto
Eh!
Saa zingine masaage,
Mmh Me nakandwa
Na hisia zikichaji
Mmh Analamba
Pole kwa walonichomea
Kwamba me teja wa mapenzi
Ona sahivi nadekezwa
Na huyu wangu huyu
Sshiii !
Oh my God, Nimependwa tena
Oh my God, Sitotendwa tena
Oh my God, Nimependwa tena
Oh my God, Sitotendwa tena
Mmmh Eeh!
Ah Babey, vijimaneno fiche fiche
Ah, Sio fity fity
Na Wala usiwaskize
Watatubomoa
Yaani dunia nzima
Sijamwona kama wewe
Urembo wako hatari
Mmh, Babey waonyeshe
Na wala usijisumbue
Na zile zao comment
Tukishapost watakimbia
Eh, Waokoe bundle
Saa zingine masaage,
Mmh Me nakandwa
Na hisia zikichaji
Mmh Analamba
Pole kwa walonichomea
Kwamba me teja wa mapenzi
Ona sahivi nadekezwa
Na huyu wangu huyu
Sshiii !
Oh my God, Nimependwa tena
Oh my God, Sitotendwa tena
Oh my God, Nimependwa tena
Oh my God, Sitotendwa tena
Sshiii !
Oh my God, Nimependwa tena
Oh my God, Sitotendwa tena
Oh my God, Nimependwa tena
Oh my God, Sitotendwa tena
Nimependwa tena
(Tee nterere) x4
Sitotendwa tena!
Huuu huu maiyo.