Penda Unakopendwa Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Penda Unakopendwa - PRINCE LUCKY
...
Aiyeeh ,
Lucky Prince Ooh
Mmmh Mmmh Mmh
Mapenzi siri ya wawili
Wanaoshare vingi vya ndani
Na sio tu vile vya mwili
Hisia na midundo moyoni
Haina haja kuyafosi
Pale pasipo na dhamani
Mapenzi huja bila notice
Kwa njia ya mivuto ya ndani
Mapenzi si kama kioo
Ukicheka nao yanakuchekea
Ukajiona we jogoo
Utampata unayemtaka eh
Umewaona wengi ndioo
Wakaja wakaonja wakaenda
Ukawabadili kama nguoo
Mpaka dhamani umeipoteza eh
Eiyeh
Penda Unakopendwa, Unakopendwa
Penda Unakopendwa, Usikopendwa usipende
Penda Unakopendwa, Unakopendwa
Penda Unakopendwa, Usikopendwa usipende
Vipo vingi vya kuchezea ila sio moyo uliopenda
Na kama kweli humpendi haina haja kumdanganya
Usione mtu analia, mapenzi ukadhani anaigiza
Ni maumivu yalondani, machungu sana kujieleza
Na wapo wengi walofosi, mwishowe wakafa wengine wakaua
Wachache wakawa machizi, wengi wakabadilisha jinsia
Mapenzi si kama kioo
Ukicheka nao yanakuchekea
Kkajiona we jogoo
Utampata unayemtaka eh
Umewaona wengi ndioo
Wakaja wakaonja wakaenda
Ukawabadili kama nguoo
Hadi mwenyewe ukajichukia eh
Eiyeh
Penda unakopendwa
(Eeeeh unakopendwa eh)
Unakopendwa
(Eeh unakopendwa eh)
Penda unakopendwa
(Ayayayah eeh eh)
Usikopendwa usipende eh
(Usikopendwa, Eeh iiih hiii)
Penda Unakopendwa
(Unakopendwa eeeh)
Unakopendwa
(Penda pendwa...)
Penda unakopendwa
Usikopendwa usipende
(Ayayayah eeh eeh)
Omama eeeh ayaya eeeh Mwenyewe unipende
Mwenyewe unipende mapenzi mabaya mabaya yanaua
Penda unakopendwa
(Eeeeh unakopendwa eh)
Unakopendwa
(Eeh unakopendwa eh)
Penda unakopendwa
(Ayayayah eeh eh)
Usikopendwa usipende eh
(Usikopendwa, Eeh iiih hiii)