Mziki Na Pombe Lyrics
- Genre:Dancehall
- Year of Release:2023
Lyrics
Mziki Na Pombe - PRINCE LUCKY
...
atmyaaa ayaaa....wangapi wanadai tulewe .eeh mnataka passion ama pombe*2 ahhhh pombee ..basi ita waiter alete pombe na nini tenaa,(choma na sembe)hamuezi lewa bila sembe vipi na magaldem (wueewe). tupewe tottot nisikie tingting*2Ongeza mziki na pombe tunataka mziki na pombe*2 .....zimeshika nasikia fiti pedi wa magenge"waiter leta pombe zikuje na machupa usilete hapa vikombe leo pombe nakunywa bila chesa mifuko zimejaa,niko na mapesa leo lazima nipite na mtu sijali hata kaa ni mtu wa mtu aii I meed a vellaa I need a vella ndo nisikie better kwanza kesho siendi wera kesho ni siku ya kuenjoy hela kama Prince niko Lucky kesho kuna kaprincess katanitolea turkey (chorus) basi tupewe tottot nisikie tingting*2ahh (Ongeza mziki na pombe. tunataka mziki na poombe)*2ahh mister DJ ongeza voliuum leo sitaki calls flight mode mbaka saa tisa rada ni safi naona meza tushachachisha mbogi ishacome macho zimenyanya mbaka zinakutisha arrg na usikanyage waya kama uko jaba uko taptap zote ni dawa we lenga stress acha kukaa ni kama umepagawa ulipiganga shower before nikuje so siezi gawa nasikia kuwika nasikia kuimba zimeshika sana hadi nasikia kutapika kila mtu ni mhandsome nasikia joh kujipa acha kushika kaa bei huwezi fika (chorus)basi tupewe tottot nisikie tingting*2...ongeza mziki na pombe.(tunataka mziki na pombe)*2.......................