Mambo Bado Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Mambo Bado - Goodluck Gozbert
...
It's a Good morning Siku pia, Kule nilipo, MUNGU kateenda,
It's a better day, Siku sawa,
MUNGU wangu, Amenikumbuka.
Hivi ni nani? Angeju angejuua.
Mimi ningekuwa,
Naani angeo angeoona, Yale MUNGU.
Angetee angeteenda.
Vile walijua Mimi nimemalizana na MUNGU. (Mambo Badooo) "(Waambie)"
Hakuchoka alinyamaza tuu (MAMBOO BAADO)
Vile walijua Mimi nimemalizana na MUNGU. Mambo baado Hakuchoka alinyamaza tu (Mamboo baadoo)
Nilipigia Marafiki saaana Message Kwa Sanaa...
Hangaika Sanaa, Na sikujibiwaa.
Nikaomba Sanaa, Waaalicheka Sanaa.
Ila Leo Bwana Amenikumbukaaa..
Nashukuru shukuruuu, Haukuzima Moyooo. .
Kwenye Mapitoo nilipona Baadoo.
Nimesamehee maadui zanguuu
Sasa najuaaaa kwenye kupaaataa pia kukosaaa Bado MUNGU ni MUUNGUU..
Tena najuuua Kila mshiiindiii ana apambaanooo.
Ni lazima ashiiindeee eeeh.
Na wale wanajua Wewe umemalizana na MUNGU Mambo Baadoo. .
Hakuchoka alinyamaaza tuuu Mambo Baadoo.. .
Wale wanajua Wewe umemalizana na MUNGU "Mambo Baadoo"
Hajachoka amenyamaaza tuuu Mamboo baadooo. .
Wale wanajua Wewe umemalizana na MUNGU. ..
Hajakuachaaa amenyamaza tuuu. .
Wale Wanajua Wewe umemalizana na MUNGU.. ..Mamboo baadooo
Bado Bado Bado Bado badooooo. Mambo baado. . ..