![Karibu Roho](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/07/21/0d59c48951d24769aeb3a7f7b708ce51.jpg)
Karibu Roho Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Karibu Roho - Goodluck Gozbert
...
still alive......
Karibu roho mtakatifu tawala
Karibu roho mtakatifu tawala
(instrument.....)
tuko hapa twakuita.. wewe Mungu roho mtakatifu
ndio Sasa tumekubali.. karibu karibu karibu
ukatakase mioyo yetu hee roho rudisha bubujiko mioyoni
tupe kutambua pendo la Mungu Eee roho karibu roho tuko tayari
(ooh karibu )
karibu roho mtakatifu tawala
karibu roho mtakatifu tawala
(oooh karibu)
karibu roho (karibu roho) mtakatifu tawala (karibu sasa)
karibu (karibu) roho (karibu) mtakatifu tawala
(Instrument.....)
Vipawa vyote, karama zote,
tuko hapa tukingoja hatuendi
utujaze ujasiri karibu karibu karibu
palipo vita utujulishe habari mapema maana Siri zote unazijuaa ...haha..
hakuna kilichofichika kwako roho karibu karibu karibu
(Eeeeh roho )
karibu roho (roho Mungu mtakatifu) mtakatifu tawala ( karibu karibu sasa)
Karibu (kaaribu) roho ( karibu) mtakatifu tawala
Ukatawale maisha yetu() tawala hisia zangu tawala masomo yangu ongoza ndoa yangu karibu tawala Kila kitu changu eee
aaah tufundishe kuomba tufundishe kutembea katika njia sawa tuongoze safarini tujaze nguvu zako wewe
rafiki na msaada wa karibu tutakase mioyo yetu tukumbushe Yale yanayotupasa kutenda wewe mtendaji mkuu wa mambo ya rohoni tujaze nguvu zako usituache njiani
tembea nasi roho wa Mungu tembea Nadi siku zote
gusa maisha yetu uwe Kila kitu kwetu
Tamalaki mtakatifu
Tamalaki Mungu.....
(End)