Samehe Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Samehe - Goodluck Gozbert
...
Aaaaah Mmmmh mmmmh
lalala lalala
Umekaa widhe unawaza na kuwazuaa, mwili ukonde wezako wanatanua ona huyo eeeh imani imepotea Eeee bora usonge mana muda unapotea eeeh
Wewe si wa kwanza waliokutenda Eeeeh
vile uko na uzima shukuru muumba Eeeeeh
Mwingine sialisema ukimsaidiaaa ana moyo mbona ni mapema kabadilikia machoni pako ulijua tenda wema tenda wema nenda nenda
Umejua tenda wema tenda wema nenda yatosha
wakiona wakuache sawa sawa
wakiona wakucheke sawa sawa
wakiona wakuache sawa sawa
wakiona wakucheke sawa sawa
Ile dhawabu kwa mungu usikosea achilii ya bwana
basi samehe samehe
acha samehe samehe
basi samehe samehe
tena samehe samehe.
Wabaya ni watu shetani anasingiziwa sana ndani ya mtu ya mtu anachangua kuwa mwenyewe wabaya wapo wapo tena wanasikia raha hukumu ipo ipo shetani angenawa kivyao.
Mwingine sialisema ukimsaidia ana moyo mbona ni mapema kabadilikia machoni pako ulijua tenda wema tenda wema nenda nenda umejua tenda wema nenda yatosha aaah
Wakiona wakuache sawa sawa
wakiona wakucheke sawa sawa
wakiona wakuache sawa sawa
wakiona wakucheke sawa sawa
Ile dhawabu kwa mungu usikose achili ya bwana
Basi samehe samehe
acha samehe samehe
basi samehe samehe
tena samehe samehe