Surprise Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Surprise - Goodluck Gozbert
...
goodluck gozbert
song surprise
wanaona aonaa wanaona
onaaaaa surprise)
hawakujua unakibali cha mungu wanaona
onaaa wanaonaa onaaa surprize
walizoea kukuona ukiangaika tena mioyo yao
ikaburudika
walifurahi kusikia umearibikiwa ndo wakatang
aza hauto inuka kwamba walijua ukisima
ma wewe ni namba nyingine tena walijua
ukisimama wewe ni mtu mwingine
eti kwanini wewe upate huku wao wana
vyeo
sawa walikusaidia kwa shingo upande km
ungelikuwa msaada wangekudhalilisha walizo
ea kila jambo jema hutoka kwao tu walobobea
wamewekwa kando umepata nafasi
wanaona aonaa
wanaona aonaaaaa surpise)
hawakujua una kibali cha mungu
wanaona aonaaa
wanaona aonaaaaa surpise
kama neema haipo subiri usichoke
siku yako ipo shukuru usiache
wako wapi walio kudhalilisha na useme
iko wapi siku ulizo jificha kwa fedheha
hakuna jambo gumu haliwezi
ninajua silaha zao ni panga butu
walijua nitakufa bado ninaishi
hata dunia ipinduke sarafu waifutike
jina lako limeandikwa baraka zipitishwe
ninang'ara kama daudi vazi la utukufu
si uliniita mchunga mbuzi
wanaona aonaaaa
wanaona aonaaaaa surpise)
hawakujua nina kibali cha mungu
wanaona aonaa
wanaona aonaaaaa surpise
walisema huna mtoto huo ( huo moto huo)
wakakutupia maji huo ( huo moto huo)
wengine wakakufukuza huo ( huo moto huo)
walisema huto olewa huo ( huo moto huo)
wamebaki wanashangaa huo ( huo moto huo)
wanalipa jina la yesu huo ( huo moto huo)
ya dunia takataka ee huo ( huo moto huo)
surpise
surpise
surpise
surpise