Mapembe ft. Mfalme Alain Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Mapembe ft. Mfalme Alain - Goodluck Gozbert
...
chorus
sio mlevi anajiita mnywaji , sio mwizi anakusanya mtaji
sio mlevi anajiita mnywaji, sio mwizi anakusanya mtaji
kaninga langai bakuti kala nasoni
Gozberte
verse 1
Alianza kijana mzuri anawahi na kanisani
akienda ibada ya pili anabaki na jioni.
ukimwona utamwita mtumishi, ah
mtumishi
hanywi pombe yani ni mwanaye dhambi
ya dunia anha
anakatala na mikono miwili
akisema anha
marafiki wote wanajua ni kweli
sasa probleme hatujui ni nini hataki kabisa , hataki kanisa amekuwa chapombe,
chorus
amebadilika ameota mapembe
mape mama mapembe
oy yoyo hashauriki ameota mapembe
mape mama mapembe
verse 2
wapi alipo mnielekeleze
amefanana na yule malebo
suruali hapo hapo hapo hapo
nywele hapo hapo hapo hapo
short skirt hapo hapo hapo hapo
anamix pombe hapo hapo hapo
kaongeza kudanga hapo hapo hapo hapo
ai rudi rudisha uhusiano wako
wako na Mungu eh
maisha unayoishi utaishia motoni, hauna rafiki wa kweli wako na sababu fulani
chorus
aya badilika usifuge mapembe mape mama mapembe
wanakata mape mape mapembe
usiinue juu mape mama mapembe
wanakata mape mape mama mapembe
eh Jojo
eg Jojo eh
ih anasikia
mape mape mama mapembe
mape mape mama mapembe
eh barnaba daresalaama
congo kinshasha
nairobi kenya
ikufikie eh enhe
ai enhe
alikopa malamba mawili ana madeni ya muhimbili
alikopa magwepande wakimshika ni rumande
verse 4 - mfalme Alain
kila kitu wewe eh joto mwenyewe
eh baridi mwenyewe chagua moja hili
kila kitu wewe eh joto mwenyewe
eh baridi mwenyewe chagua moja hili
haueleweki hauweleweki nani
haueleweki
haueleweki hauweleweki nani
haueleweki
(uko simba au yanga)
mipango mipango imempita bwana mipango
mipango mipango imempitaa bwana mipango
anamashetani (apepewe)
ah majini (apepewe)
kabla sijauwa mtu (apepewe)
ana gala gala (apepewe)
anatetemeka (apepewe)
alikopa malamba mawili ana madeni ya muhimbili
alikopa magwepande wakimshika ni rumande
wakimshika watamchapa
ah ah wakimshika watamchapa
wakimshika watamchapa
wakimshika watamchapa
tp mazembe