Majina Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Majina - Goodluck Gozbert
...
Nimeona majina makubwa
Kupita yote
Ila katika hayo langu lilikua juu
Nimeona majina mzuri
Ya dunia hii
Ila katika hayo langu lilikua juu
Nimeona yaliyo mafanikio
Yenye baraka
Tena katika hizo zangu zilikua
Wacha nikueleze patano langu na Mungu
Napitishwa hapa ananipeleka juu
Ukiona ninapumua bado
Misukosuko ni kama zoezi
Sichanganywi na ripoti ya leo
Mchicha bamia sio
Sukuma wiki najizungusha nikingojea nyama
Bado sijakamilika ninatayarishwa kidogo x 4
Bado sijakamilika ninatayarishwa kidogo x 4
Ukiweza nihukumu
Nikiwa na hali ngumu
Ila ungalijua
Nimekaa kimya
Alinipaka mafuta nitawale
Nami nasubiri
Baraka zangu niketi enzini
Sawa nimezidi mikopo
Madeni ya kila duka
Hao ni maajenti
Kampuni yangu ya baadae
Ninabariki wenzangu
Maana nimebarikiwa
Sina laana kwa nini niwachukie
Ninaombea wenzangu wafanikiwe
Wajue wewe
Ndivyo tulivyo washindi
Wacha nikueleze patano langu na Mungu
Napitishwa hapa ananipeleka juu
Ukiona ninapumua bado
Misukosuko ni kama zoezi
Sichanganywi na ripoti ya leo
Mchicha bamia sio
Sukuma wiki najizungusha nikingojea nyama
Bado sijakamilika ninatayarishwa kidogo x 4
Bado sijakamilika ninatayarishwa kidogo x 4
Alinipaka mafuta nitawale
Nami nasubiri
Baraka zangu niketi enzini
Alinipaka mafuta nitawale
Nami nasubiri
Baraka zangu niketi enzini