Wakalale Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Wakalale - Goodluck Gozbert
...
Wacha wakalale wakishasema wakalale wacha wakalale halafu MUNGU atawale
(Wacha wakalale wakishasema wakalale wacha wakalale halafu MUNGU atawale)x2
Duniaaa dunia Haina hurumaa machozi unalia unapoteza bure hebu tazama wanaokusemaaa hawana kazi unajitesa bure (bure)
Ukitazama maendeleo yao umewazidi mbali unajisumbua bure (bure)
Wewe subiri subiri jua lizame vinywa vichoke usihangaike nao ooh
(Wacha wakalale wakishasema wakalale wacha wakalale halafu MUNGU atawale)
Wacha wakalale wakishasema wakalale wacha wakalale halafu MUNGU atawale
(wacha wakalale wakishasema wakalale wacha wakalale halafu MUNGU atawale)
Safina safina ilipokamilika waliiona na bado hawakuamini wewe ni nani uwaaminishe haraka funga kufuli usishughulike nao ila ukisikia Nuhu tufungulieee ujue sasa amekwisha tenda wewe
(wacha wakalale wakishasema wakalale wacha wakalale halafu MUNGU atawale)
Mamlaka uliyonayo ni makubwa kupita yao sasa machozi ya nini komesha komesha wale wanaokorofisha kazini kwako aisee tuwape wiki au mwezi wataondoka bwana usiwachezeeee waliokombolewa wana mihuri mihuri ya mbingu wacha taratira kusingizia uongo MUNGU akishuka tusilaumiane
(Wacha wakalale wakishasema wakalale wacha wakalale halafu MUNGU atawale)
Wacha wakalale wakishasema wakalale wacha wakalale halafu MASIHI atawale
(wacha wakalale wakishasema wakalale wacha wakalale halafu MUNGU atawale)
Sema mama sema maliza kabisa sema sema mama sema nitakaa kimya sema baba sema chafua kabisa sema chafua sana sema nitakaa kimya ooyee (aaaah eeeh eeeeh eeeh)
(Wacha wakalale wakishasema wakalale wacha wakalale halafu MUNGU atawale)