Nitatulia Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Nitatulia - Jessica Honore
...
uuuh eeeh hallelujah
nitatulia nitanyamaza ahadi yako Mungu inatimia.
nitatulia nitanyamaza ahadi zako Mungu zinatimia
eeh hallelujah baba
watimiza ahadi eeh
ulisema nitulie niuone mkono wako maana ahadi zako zinatimia mavumbini wainua na wakuu waketisha ahadi zako Mungu zinatimia
repeat
nitatulia nitanyamaza ahadi zako Mungu zinatimia...eh uuhh..
wewe hauwai Wala hauchelewi unajibu kwa wakati unatimiza
jibu lako ni ndio na tena ni Amina Ila Kuna kusubiri unatimiza
repeat
nitatulia nitanyamaza ahadi zako Mungu zinatimia...eeh eh Baba eeh eh Yesu Baba wewe ooh Baba yangu.
ukisema ndiyo hakuna wa kupinga, neno halirudi bure unatimiza mtetezi wangu wapigana Vita vyangu na ijulikane uko eh Mungu pamoja nami..
nitatulia.. (repeat chorus)
Ahadi zako Mungu zinatimia... (repeat)