Sirudi Nyuma Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2020
Lyrics
Sirudi Nyuma - Jessica Honore
...
Aahh , Aaah
Sirudi nyuma ni mbele , Mbele na Yesu
Sikati tamaa ni naye , Ni naye Yesu
Sirudi nyuma ni mbele , Mbele na Yesu
Sikati tamaa ni naye , Ni naye Yesu
Amejua kunisafisha Mungu
Amejua kuniondolea Uchungu
Amejua kuniviika Utukufu
Na sasa ni mtu huru, aliona ubora wangu uhuru Yesu
Hata nilipoonekana si kitu .
hakujali historia yangu Huyu Yesu sasa nimeinuliwa juu.....
Sirudi nyuma ni mbele , Mbele na Yesu
Sikati tamaa ni naye , Ni naye Yesu
Sirudi nyuma ni mbele , Mbele na Yesu
Sikati tamaa ni naye , Ni naye Yesu
Nimejifunza kumsifu mmmh
katika njia , shida aah..
nimejifunza mwabudu
katika njia , ukiwa
Aliona ubora , Wangu huyu Yesu
hata nilipoonekana si kitu
hakujali historia yangu Huyu Yesu sasa nimeinuliwa juu.....
Sirudi nyuma ni mbele , Mbele na Yesu
Sikati tamaa ni naye , Ni naye Yesu
Sirudi nyuma ni mbele , Mbele na Yesu
Sikati tamaa ni naye , Ni naye Yesu
•••••••••••••••• •••••••••••••••••••
hey eeeh aaah ..
Celebrate Jesus Hallelujah owh ooooh....
he deserves it all, Yeaaaaah .......
Sirudi nyuma ni mbele , Mbele na Yesu
Sikati tamaa ni naye , Ni naye Yesu
Sirudi nyuma ni mbele , Mbele na Yesu
Sikati tamaa ni naye , Ni naye Yesu
Sirudi nyuma ni mbele , Mbele na Yesu
Sikati tamaa ni naye , Ni naye Yesu
Sirudi nyuma ni mbele , Mbele na Yesu
Sikati tamaa ni naye , Ni naye Yesu
Sirudi nyuma ni mbele , Mbele na Yesu
Sikati tamaa ni naye , Ni naye Yesu
Sirudi nyuma ni mbele , Mbele na Yesu
Sikati tamaa ni naye , Ni naye Yesu
Sirudi Nyuma ni mbele .....
sikati tamaa ni Naye.....
Sirudi Nyuma , hey Sirudi Nyuma
Hey sikati tamaa , eeh sikati tamaa
yeah eeh Aaaaah.....