I Depend On You Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2020
Lyrics
I Depend On You - Jessica Honore
...
mmmmmh....
Hallelujah.
mmmh yeah.
hey Yehoshua, Elohim , Adonai ....
You've proven to be so powerful
you've proven to be so merciful
you've proven to be so graceful
Lord Jesus I depend on you
You've proven to be so powerful
you've proven to be so graceful
you've proven to be so merciful
Lord Jesus I depend on you
I depend on you
I depend on you
mnyunyizi wangu, Mnyunyizi wangu
mpaji wangu , mpaji wangu
Jesus I depend on you
nakutugemea, Nakutugemea
Kila siku kila saa
Nakutugemea
Sina Mwingine
Mnyunyizi wangu mpaji wangu , mpaji wangu
Yesu nakutugemea....
••••••••••••••••••
Umethibitisha Una nguvu
umethibitisha wa Rehema
umethibitisha wa Neema
Bwana Yesu nakutugemea
Umethibitisha Una nguvu
umethibitisha wa Neema
umethibitisha wa Rehema
Bwana Yesu nakutugemea, Nakutugemea
Nakutugemea , Mungu Wangu
nakutugemea , Nipitapo katika kila hali
Mnyunyizi wangu Mnyunyizi wangu
mpaji wangu , ni wewe
Yesu nakutugemea
Nakutugemea .... I depend on you
I depend on you
I depend on you
mnyunyizi wangu, Mnyunyizi wangu
mpaji wangu Jesus I depend on you
Mnyunyizi wangu, mpaji Wangu
Yesu nakutugemea.....