Yule Yule ft. Eve Bahati Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2020
Lyrics
Yule Yule ft. Eve Bahati - Jessica Honore
...
Yule, yule, mmmmmh
tawala wawatawala
Mungu wa miungu hakuna kama wewe
ulie wa kwanza ulie wa mwisho
ni yeye yule , wa dumu milele
ukiitwa waitika , ukiombwa unajibu
na ukijibu wa jibu kwa moto
ni Mungu wa jana , Ni Mungu wa leo
na hata kesho haubadiliki
unabaki kuwa Mungu mwenye utukufu, mamlaka, na nguvu vi na wewe
ni yule yule ,Yesu ni yule yule, Yesu ni yule yule
ni yule yule ,mkombozi wa Maisha yangu yule yule
ni yule yule , Yesu ni yule yule , Yesu ni yule yule
ni yule yule , Yesu ni yule yule , yule yule eeeh
ni Yule yule , Yesu ni yule , yule , Yesu ni yule yule
ni yule yule , Yesu ni yule yule eeeeh....
••••••••••• ••••••••••••• •••••••••••• ••••••••••••
mmmh ni ajabu
jinsi ulivyo utajiri wako ajabu
hekima na maarifa yako
ajabu hukumu zako hazichunguziki
na njia zako sio za Dunia hii
Ooh Dunia vyote ni vyako, Baba
Fedha dhahabu ni zako , Baba
uanatoa kama vile upendavyo
hauna upendeleo, Daddy
wa biu wala hongo , Daddy
Wakutumanio umekuwa ngao
unabaki kuwa Mungu mwenye utukufu, mamlaka, na nguvu vi na wewe
ni yule yule ,Yesu ni yule yule, Yesu ni yule yule
ni yule yule ,waniwazia mema yule yule
ni yule yule , Yesu ni yule yule , Yesu ni yule yule
Chao chako ni kile kile , yule yule bwana
ni Yule yule , Yesu ni yule , yule , Yesu ni yule yule
ni yule yule , mwenye mamlaka yote yule yule eeeeh....
•••••• ••••••• •••••••• ••••••• ••••••
Uliyashinda mauti , mmmh
uliyashinda kaburi, aha..
ni yule yule eeeh, ni yule yule eeeh
ni yule yule, Yule yule eh
ni yule yule eeeh , Yeesuuu, Yesu Ni yule yule eeeh ...
Unabaki kuwa Mungu , unabaki kuwa Mungu, Unabaki Kuwa Mungu Yesu ni yule yule
Unabaki kuwa Mungu , unabaki kuwa Mungu, Unabaki Kuwa Mungu, Yesu ni yule yule
yule yule , Yesu ni yule yule
Yesu ni yule yule , ni yule yule
mkombozi wa maisha yangu ,ni yule yule
ni yule yule , Yesu ni yule yule Yesu ni yule yule yule yule
ni yule yule, waniwazia mema ni yule yule
ni yule yule, Yesu ni yule, yule , Yesu ni yule yule
ni yule yule
eeeh Baba , eeh Baba
ni yule yule .
ni yule yule
ni yule yule