Furaha Yangu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Furaha Yangu - Jessica Honore Bm
...
huuuuuu uuu
haiyayayayayaa
Asante Baba kwa uliyo fanya
usifiwe milele umetamalaki
mkono wako wa baraka eeh Bwana
mkono wako wa baraka eeh Yesu
ume ni nyooshea hee
ume ni nyooshea hee
familia nzuri umenipa eeh Bwana
si kwa wangu uzuri ila yako neema
kazi za mikono yangu,umeziinua
chorus
Wewe ndio Furaha yangu
Sina haya,kuku sifu Mungu wangu
wewe ndio,furaha yangu
Sina haya kukusifu Mungu wangu
umenitendea
verse two
Umenijaza ushuhuda yaweeh
wa wema wako na fadhili tele
hata huduma yangu inasimamishwa nawe
hata ndoa yangu, inaongozwa na wewe
vizazi hata vizazi wajue
wanionapo wewe wa kuone
vizazi hata vizazi wajue,wanionapo
wote wajue,natembea nawe.
chorus
bridge
heeeeeeeeeeeeee oooooooooh
haayaaayaaayaa
aaaaaaaaaaaaaaa
eeeeeeeeeeeeeiyee
repeat chorus
wewe ndio,furaha yangu
na sina haya, kuku sifu Mungu wangu *2
ume ni tendea,ume ni tendea
umenitendea, umenitendea