You Are Good ft. Gwamaka Mwakalinga Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
You Are Good ft. Gwamaka Mwakalinga - Jessica Honore
...
Haleluya
Inua mikono yako, muadhimishe mfalme wa wafalme.
(tongue)
The bible says, for the lord is Good
And his mercy endures forever
Haleluya.
How many believe that?
Is now you believe that,
The lord is Good.
(unaweza ukasimama, tuka mwabudu Bwana pamoja)
Haleluya
Heee!
(tumeuona wema wako Bwana)
Hooooh
You are Good, and your mercy
Edures forever *2
.
(Umwema, fadhili zako,
Zadumu milele) *2
.
(Bwana ni mwemaa,
Hakika wema wako
Na fadhili zako Bwana.)
.
Say you are Good
You are Good,
(And your mercy)
and your mercy
(Edures forever)
Edures forever *2
.
Bwana mwema
(Umwema,(fadhili zako) fadhili zako, (zadumu)
Zadumu milele)
(Bwana mwema) (Umwema, natena fadhili zako) fadhili zako,
Zadumu milele)
(You are Good)
You are Good
(and your mercy)
and your mercy
(Edures forever)
Edures forever*2
.
Bwana mwema
(Umwema,(Jana Leo na milele) fadhili zako,
(zadumu)
Zadumu milele)
(hujawahi kupunguka wema) (Umwema, (wema wako) fadhili zako,
Zadumu milele)
.
Jesus you are good
You are Good, and your mercy
Edures forever
Oh you are Good Jesus
You are Good, and your mercy
Edures forever
.
Bwana mwema
(Umwema,(fadhili zako)
fadhili zako,
(zadumu)
Zadumu milele)
(Bwana mwema sana) (Umwema, Asante kwa wema wako)
fadhili zako,
(yeeeh)
Zadumu milele)
Say, you are Good *5
You reign forever
.
Say, umwema*5
Wadumu milele
.
you are Good *5
You reign forever
.
I say, umwema*5
Wadumu milele
.
Sema you are Good
you are Good *5
You reign forever
.
Umweema, umwema*5
Wadumu milele
.
Twakwabudu wewe, mtakatifu
(we worship you, holy one)
Twakwabudu, mtakatifu
.
(we worship you, holy one)
Twakwabudu, mtakatifu
.
(we worship you, holy one)
Twakwabudu, mtakatifu
.
you are Good *5
You reign forever
Umweema, umwema*5
Wadumu milele
.
you are Good *5
You reign forever
Umweema, umwema*5
Wadumu milele
.
you are Good *5
You reign forever jesus ooh
.
Umweema Bwana , Jana Leo na milele, wema wako haukomi Bwana,
Wema wako haukomi Bwana
Twakwabudu
Mtakatifu
Nakwabudu
Ooooh
Mtakatifu
Yeeeh
.
(tongue)
.
We love you Jesus
We worship you Jesus
(tongue)
Twakwabudu matakatifu wa wa Takatifu, Bwana wa mabwana.
.
(tongue)
.
We can open our hearts.*2
Just lift up your hands, just worship him
.
Tuchukue Muda mfupi tu, tu muadhimishe Bwana mahali hapa.
Tumwadhimishe tu Bwana
Fungua kinywachako, tumuadhimishe Bwana.
Kwamaneno ya kinywachako
Mtukuze tu Bwana
.
Wewe ni matakatifu Bwana *8
Thank you Jesus
Amen.