Nitatulia Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2020
Lyrics
Nitatulia - Jessica Honore
...
Bwana wangu
Jabari langu
Uzima wangu
Amani yangu
Jibu langu Nitatulia , Nitanyamaza
Ahadi zako Mungu zinatimia
Nitanyamaza, nitatulia
Ahadi zako Mungu Zinatimia
eeh baba, eeeh Yahweh
Umesema nitulie, Niuone Mkono wako
Maana ahadi zako zinatimia
mavumbini wainua, na wakuu waketisha
Ahadi zako Mungu zinatimia
Nitatulia , Nitanyamaza
Ahadi zako Mungu zinatimia
Nitatulia , Nitanyamaza
Ahadi zako Mungu zinatimia
Ooh , Hallelujah, Hallelujah
Wewe hauwahi , wala hauchelewi
unajibu kwa wakati unatimiza
jibu lako ni ndio na tena Amina
ila kuna kusubiri , unatimiza
Nitatulia , Nitanyamaza
Ahadi zako Mungu zinatimia
Nitatulia , Nitanyamaza
Ahadi zako Mungu zinatimia
ukisema ndio , hakuna wa kupinga
neno halirudi bure Unatimiza
mtetezi wangu, pigana vita vyangu
na ijulikane upo, Mungu pamoja Nami
mtetezi wangu pigana vita vyangu
na ijulikane upo Mungu pamoja Nami
Nitatulia , Nitanyamaza
Ahadi zako Mungu zinatimia
Nitatulia , Nitanyamaza
Ahadi zako Mungu zinatimia
Unatimiza.....
Still alive.