Mwamba Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2020
Lyrics
Mwamba - Jessica Honore
...
hallelujah, hey hey
nimeketi juu ya mwamba
mwamba ndiwe Yesu
Mwamba , mwamba, mwamba , mwamba ni Yesu

mshindi, mshindi, mshindi , mshindi ni Yesu
mshindi, mshindi, mshindi , mshindi ni Yesu eeeh
mwamba ni Yesu, mwamba ni Yesu eeeh eeeeh Aaaah , mwamba ni Yesu eeeh
Mshindi ni Yesu, mshindi ni Yesu eeeh , eeeh Aaaah , mshindi ni Yesu eeeh
Kwa kupigwa kwako nimepona
jina langu limendikwa mbinguni
kifo na mauti umeshinda
deni langu umenilipia
zinyima na zambambu na mabibi umefuta kwa damu yako
zinyima na zambambu na mabibi umefuta kwa damu yako
Mwamba , mwamba, mwamba , mwamba ni Yesu
Mwamba , mwamba, mwamba , mwamba ni Yesu
mshindi, mshindi, mshindi , mshindi ni Yesu
mshindi, mshindi, mshindi , mshindi ni Yesu eeeh
mwamba ni Yesu, mwamba ni Yesu eeeh eeeeh Aaaah , mwamba ni Yesu eeeh
Mshindi ni Yesu, mshindi ni Yesu eeeh , eeeh Aaaah , mshindi ni Yesu eeeh
matopeni umenitoa, aah.
na wako nimeketishwa
na magonjwa umeniponya
shida zote umeondoa