![Tunalala](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/03/05/093f42a6b2ba4c76a0a895611d35683d.jpg)
Tunalala Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Tunalala - Lony Bway
...
Its Bob Maneck eh
Kwako nafurahi
Usiniache napasha napoozaa bwagamoyo
Pesa maslah viniache nishachoka kuburuzwa bwagaranyoo
Oooh baby oooh
Sogea nikung’ate sikio
Mwenzako naenda mbio
Usije ukawa fagio
Aaafu unanilewesha
Unanilowesha ukishika tango
Penzi tunalinogesha
Tena tunavesha
Tukifanya mambooo
Alafu baby tunalala ah baby tunalala
Walah baby tunalala ah baby tunalala
Mpaka asubuhi tunalala ah tunalala
Mpaka kukucheee yaaan tunalala ah tunalala
Ahhhhhh
ka unataka vuta kiti unaogopa we utaanza ujana ah
Yaan we kipenda roho
Usichoke nipende ka jana
Acha wao washoboke na maneno mengi kututukana ah
Wala hainiumi roho na bado tunapendana
Mara nichomeke alafu uchomoee
Unang’ata lips baby unikomoe
Niweweseke tena mara nipoe
Au uniombe vyote unataka nikuboe
Aaaafu unanilewesha
Unanilowesha ukishika tango
Penzi tunalinogesha
Tena tunavesha
Tukifanya mambooo
Alafu baby tunalala(tunalala baby ehhh)
Walah baby tunalala (mi na weeee baby)
Mpaka asubuhi tunalala(tunalala eeeeh)
Mpaka kukuche tunalala.......ah
Tunalala
Tunalala ah baby tunalala
Walah baby tunalala ah baby tunalala
Mpaka asubuhi tunalala ah tunalala
Mpaka kukuchee yaaan tunalala ah
Listese’s work