![Na Wewe](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/26/5ae8af7f163846b2ad45536a4ff1317c_464_464.jpg)
Na Wewe Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Na Wewe - Lony Music
...
Why you looking down ooh beby kila unapo nionaa
Hata mi sitamaani siku itokee nikakuchomaa
Nakumbuka zamaani mateso ya moyo
Utumwanii nalishwa vipoloo
Ningekua kundi gani kama wewe usingeniona
Iimani unaweza kunipenda mi ukiaminii
Labda ndo sinto kudangaya
Ila ukweli huwa aupingikii
Wote tunafanana
Na upendo wa kweli unatoka moyoni so usiruhusu kujidanganyaa
We ukifeliii iii
Mi ntakupiganiaaa mamaa
Mi nawewe ooh mi naweee
(Ntakupiganiaaaa aaaaah
Nawewe ooh mi nawe
Mi ntakupiganiaaa mama
Mama mama mi naweeee eeh eee
nawewe ooh mi naweee
Atuachaniii atuachanii minawewe
Toa nyekundu weka kijani
Mi nawe kama paula na vanny
Aah tutaivuka mitihanii
Kama sio mi ungechaguaa nanii bebe
Yani rah tungejuana mapemaa
(Mapeeemaaa )
Ila tu nilikosa muda wa kusemaaa
Siwafichi mana mwenzenu napendwaa
Ama nichore bango ndo mjue napendwaaaa
Iimani unaweza kunipenda mi ukiaminii
Labda ndo sinto kudangaya
Ila ukweli huwa aupingikii
Wote tunafanana
Na upendo wa kweli unatoka moyoni so usiruhusu kujidanganyaa
We ukifeliii iii
Mi ntakupiganiaaa mamaa
Mi nawewe ooh mi naweee
(Ntakupiganiaaaa aaaaah
Nawewe ooh mi nawe
Mi ntakupiganiaaa mama
Mama mama mi naweeee eeh eee
nawewe ooh mi naweee
Atuachaniii atuachanii minawewe
Atuachanii kirahisii
Atuaaachaani eee
Atufanyi ujinga huoo
Ndo kwanza tunaserebukaa yan serebukaa
Ooh mama basi ulivo kama mdorii
Ukinitazama tu namwaga mtorii
Na ukinikoseaa utasema am sorry
Mi nawe mapacha mama mapacha mama
Ohh ma anjelina jorii
Kiuno cha mobetoo na jicho goroli
Ooh nana ohh nana naishiwa maneno