![Nakukubali](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/01/2bebdfd1577e45d6a5aac269f76e9969_464_464.jpg)
Nakukubali Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2020
Lyrics
Nakukubali - Lony Bway
...
elx vany nawaza kama najikosea nawaza kurudi na kuendeleaaah moto wa mapenzi ndio unakolea nikikuona tuu ndio nazidi chocheaaa hsyo maneno walio kuambia so uwoongooo ooh kweli kwelii ukilema nimetupa magongo nimefeli nimefeli me sielew naumwa roho mwambie bwana ako awe anavunga anavyo jitamba mtaani waziwazi moyo wangu anauvunja mpaka natamani ningekuwa bishoo ila maisha ndio yananivunja sina kitu na unajua wazi mashine tatu nauza m2mba najitahidi kukataaa ila macho yananikataaa naandika massage nikimaliza nafuta mwwnyew najikataa eeeh watu wananishangaaa vile ninavyo zugaaa nachapwa mijeled na hofia ukinikataaa oooh najukubakiii sana nakukubali eeeh eeeh nakukubali nakukubali sanaaa