Sinyorita Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Sinyorita - Lony Music
...
instruments...
....dream cash records....
.......... oyeeeahh......
Ukweli mama umeniwasha taa,
Sijivungi umenikamataa,
Maruani, Maruaniii,
Napandisha Maruaniii...
Na kama golikipa umenidakaa,
Wala hunipeleki chakaa,
Majirani, Majiranii.....
Watakubeba majiraniii....
(Ouyeeahhh)
Na tena ukiona huridhiki unasema,
Unaniaptia ile sawa...
Una size,Una shepu Una lipsi uko vyema, Una nafasi umejaa mamaaaa...
Na wakiponda umezeshi unatema,
unapepea una mabawaaa,
Huoni jipya maana kuna vingi wamesema,,
Na kwamba mi nakunawa afu sio kweliii
..
Wakati mi nmezama kwakoooo...
Hata ukinitazama macho...
Yatakwambia mi niko hapoo...
so baby don't goo.. Changu chakoo,
siwezi kukudanganya titlee..
usiku tunapisha kwaitlee..
Yan tunashindana man,
Tunapendana Yan
Baby ooh oooh ..
my sii.... ( Ah Sinyoritaa)
sii ..siii .....(Sinyoritaa)....
sii...siii ..(Sinyoritaa)...
siii...siii (Sinyoritaa) siii..si..
....oooh yeeahhh
...
...
Si mchana mpaka night unanipandisha my mood
unataka fight unachokonoa kusudi
hawawez.. ooh yeah hawaweziii ..
Sijachoka twende site, tukaburudishwe na movie,
ama Leo hutakii, nambie mama ka huwezii ..
nitaelewa mbona kinyamwezi tuuu...
sinyoraa wanatamaniii.... kuona inanichomaa,
tena wanaongea wazi wazi, yani mpaka naonaa,
sijui ni kwezawadi ambao nauonaa ..
ila tunaendelea kazi kazi, na darizi unashonaa...
ooh yeah...
Wakati mi nmezama kwakoooo...
Hata ukinitazama macho...
Yatakwambia mi niko hapoo...
so baby don't goo.. Changu chakoo,
siwezi kukudanganya titlee..
usiku tunapisha kwaitlee..
Yan tunashindana man,
Tunapendana Yan
Baby ooh oooh ..
my sii.... ( Ah Sinyoritaa)
sii ..siii .....(Sinyoritaa)....
sii...siii ..(Sinyoritaa)...
siii...siii (Sinyoritaa) siii..si..
....oooh yeeahhh
...siii ..sii..(Sinyoritaa)..
siii....sii,..( Sinyoritaa)
...
....................
...............
.......