![Nauwa ft. Mabantu](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/12/20/1c7c1ad5a99d433ab81a009cae4da3ea_464_464.jpg)
Nauwa ft. Mabantu Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Nauwa ft. Mabantu - Lony Bway
...
Oohh Nana Nana naah, it's time for lona bway yeeh
Chiidiii
Kuna baridi unataka jotojoto,
Shamba la bibi na unakamatia toto,
Siku nazidi ndo nanyonga msokoto,
Akitaka kupika mindo napeleka moto.
Leo ndo nauwa, (aaaaaahh)
Aaaaahh Leo ndo nauwa, (aaaaaahh)
Eeeeh Leo ndo nauwa, (aaaaaahh)
Aaaaahh leo ndo nauwa, (aaaaaahh)
Viukumbi ukumbi hoja zako siunataka kunoa,
Na ndomana umejipanga uje kunikomoa,
Rudi ndani kabla bado hujaniboa, (Rudi ndani wewe)
Unajua wapi pesa nilipozitoa,
Hutokii, huondoki, hata ufanye nini hapa leo hutoki,
Kama unaumwa nirudishie noti,
Nazitafuta kwa shida huogopi.
Leo utajua, kwamba vya Bure bwana vinasumbua,
Nimepanda mbegu vipi nivune mabua,
Hiyo michezo mingi mimi unanisumbua yeyeeh yeyeeh yeeeh!!.
Ndo nauwa, (aaaaaahh)
Aaaaahh Leo ndo nauwa, (aaaaaahh)
Eeeeh Leo ndo nauwa, (aaaaaahh)
Aaaaahh leo ndo nauwa, (aaaaaahh)
Si wanapenda kubeng.
Ssssss aaaaahh!!....
Mama, kunywa bia mi ntalipa Bill,
Tukitoka hapa kitandani mambo ya siri,
Tena nilivyo na kipaji jusi kafir,
Bila wese anateleza astaghafir,
Mama mtu, mi ugonjwa wangu ukinyonya shingo tu,
Ugonjwa mwengine ninapokukunja nitaje Jina tu, (kannaaah)
Mabantu tupo wawili so ninawivu hivyo,
Ndomana starehe yangu sio pombe ni mapenzi tu, (kumanisha nini)
Haa! Mashuti true mi sikev sizungushi,
Nala mkongo sili paki sili busti,
Kwa bedi kama Ukraine na urusi,
Mbona Leo utamtaja aliyenifundisha matusi,
Mama mtu, nimebarikiwa kamba,
Ndowanaa mi ugonjwa wangu shanga,
Mambo ya kushuka na kupanda,
Mbona Leo ghetto litalia parapanda.
Ndo nauwa, (aaaaaahh)
Aaaaahh Leo ndo nauwa, (aaaaaahh)
Eeeeh Leo ndo nauwa, (aaaaaahh)
Aaaaahh leo ndo nauwa, (aaaaaahh)
(Instrumental ) yeeeh eeehh!!
It's time for lona bway.
(Instrumental)