![Nakukumbuka](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/03/30/1a8081f3a2a94fd6b35ef78c8adecafd_464_464.jpg)
Nakukumbuka Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Nakukumbuka - Lony Bway
...
Eeh
Dis time for lony bway
Mmmmh
Ah et umeona nini
Ameunyima ugonjwa dawa
Et umeona nini
Si ameutesa moyo sawaa
Kisa umasikiiini i i
Ameutesa moyo mbaya
Sijui amelishwa ninii
Hakua hivii
Alikuaga zaidi ya rafiki
Zaidi ya ridhiki
Nikikosa anaumia yeye
Yan zaid ashiki
Zaidi aambiliki
Nikipata anaenjoy yeye
Lakn saiv mi mi miii
ndo sielewii mimiii
Mi mi miiii nimebaki tu mi mwenyewe
Simu zangu azishikwiii
Sielewi nimekosea wapii
Aah mi miiii
Kulilia mapenzi wap na wap
O o (Ntakukumbukaga
Amini moyo unakukumbaga maa
Japo uliniachaga kwa ubaya
Ila naamini ntakua sawaaa *2 )
Oooh
namisi ukicheka mama
Namisi sometime unavo ongea mama
Namis kuna muda tulizinguana
Ila simisi pale tulipo achana
Namis
Hadi maujinga mama
Namis
Ulivyo nipenda sana
Namis
Kwenye bed unayaweza sanaa
Nani alikukomvisi
Kuachana na mimi yoy oyo
Nampa hongera aaah aaah
Hongeraa aaah aah
mwambie dunia duara
Na mambo yanazungukaga
Mimi ndiyo mselaaa aaha ah
Kabwelaaa aaha ah
Ridhiki mafungu sabaaa
Aaaah
Simu zangu azishikwiii
Sielewi nimekosea wapii
Aah mi miiii
Kulilia mapenzi wap na wap
O o (Ntakukumbukaga
Amini moyo unakukumbaga maa
Japo uliniachaga kwa ubaya
Ila naamini ntakua sawaaa *2