![La Moto](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/10/15/2c776567c9024303a65aeaba75a9862a.jpg)
La Moto Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
La Moto - Lony Music
...
lony music lamoto
nalazimisha kukubar ila maumivu makaliii najua haukua tayar ama ulishindwa hali hii! nainaonesha waza hata kabla hujafanya uliwaza haya (haaaayah! ) hivi ni nini kinacho sababishabmpaka hatuend sawaa sawaaa hivi vita vya panz furaha kwa kunguru mama huo ni mbaya ubaaaya! sivunji Nazi sijazoea kukufuru ka umechoka sawaaa($awaa) kweli mapenz haya tabiriki kuisha utadhana anakaa kwenye seat Leo ya moto kesho ya barid kwa upande wangu sahiz alishikiki
limekua la moto ( lamotoo)