Umeniziba Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Umeniziba - Lony Bway
...
Wangu taharuki mi ni mzima na alinitupa baharini
nikiwa mahututi mi nishazima hata ye mbona hatoamini
sifurukuti nlichacha nlichina sio wa kumi sabini
alaf wala hajuti aliacha tu shina matawi kwake ya nini
alaf mi nlijitoa ukanikomoa ukanizodoa ni wewee
kaja kuniokoa kunichomoa kwenye majeraha ya wewe
mi naye mpaka ndoa hata ukikodoa tunapendezana wenyewe
sioni wa kututoa,wakutia doa si tunawezana wenyewe
baybeee hakuna anaetesekaga mileleee
uombe Mungu utakacho upewe
sikupenda nibaki mwenyeweeee
ila Mungu ndo kanipa weweee
Umeliziba (pengo),
macho umeniziba (pengo)nisione pengine
umeniziba
nisahau nilivyoumizwa Umeniziba...
Nilishachoshwa na Mapenzi haya nguvu sina nikaweka kando tu
nlishajua kuwa siwezi tena moyo sina niweke bango juu
nilichojua kupenda na uwezo sina naunga bando tu
kumbe umenichoraaah
kumbe ulinichora aahaaa
na sioni sahv simsikii ameshanisafisha bila hata jikii
ndotoni nahisi siamki mpaka najiuliza ulikuwa wapi
moyoni saizi haubanduki
mtoto unanipa huba halikauki hooooh baybe
my darling
so sweetyyyy
haa hakuna anayetesekaga mileleee,
uombe Mungu utakacho upewe
sikupenda nibaki mwenyewe
na Mungu ndo kanipa weweee
Umeniziba (hoooo)pengoo macho
umeniziba(sioni )pengo macho umeniziba(nisione pengine) umeniziba nisahau nilivyoumizwa umeniziba