Ndiwe Mungu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Ndiwe Mungu - Goodluck Gozbert
...
Niwee eeh ndiwewe Mungu wangu
Ndiwe (ndiwewe Mungu wangu)
Nakupenda sana (ndiwewe Mungu wangu )
peke yako ( ndiwewe Mungu wangu)
ndiwe eeh (ndiwewe Mungu wangu)
Ndiwe ( ndiwewe Mungu wangu)
nakupenda sana(ndiwewe Mungu wangu)
ndiwee (ndiwewe Mungu wangu)
ndiwe e eh yaah (ndiwewe Mungu wangu )
ndiwe e (ndiwewe Mungu wangu )
nakupenda sana (ndiwewe Mungu wangu)
(ni wewe Mungu wangu)
Najuwa iko miungu mingi
Tena ina sifa nyingi
waabuduo sanamu hawanitishi
wengine mna Mali nyingi
mateso masharti mengi
ila kwa Mungu wangu yani ni amani
Niwapo mnyongee ananitia nguvu huyu
niwapo dhaifu
niwapo mnyongee aninitia nguvu huyu
niwapo dhaifu
Hadi nataka na kumwaga machozi ya furaha
nikitazama zaidi yako hakuna
nabaki nikilia huku nashukuru
N-n-ni wewe,
Ndiwee e eh (ndiwewe Mungu wangu)
ndiwee (ndiwewe Mungu wangu)
nakupenda sana (ndiwewe Mungu wangu)
peke yako (ndiwewe Mungu wangu)
ndiwe e eh yeah (ndiwewe Mungu wangu)
ndiwee (ndiwewe Mungu wangu)
nakupenda sana (ndiwewe Mungu wangu)
ndiwee (ndiwewe Mungu wangu)
ndiwe e eh yeah (ndiwewe Mungu wangu)
ndiwee (ndiwewe Mungu wangu)
nakupenda sana ( ndiwewe Mungu wangu)
ni wewe Mungu wangu
Usipo enda namimi nitauwawa Bure
Fanyika mwamba, ulinzi wa maisha yangu ee
nimeumbwa nawewe umenipa akili
nimeumbwa na wewe pumzi ya uhai wangu
Ajari nyingi tumezika wengi zamani
Magojwa mengi walikufa wengi si haba
Ila umenilinda, ona umenitunza
Ila ulinilinda nakupenda Bure Bure
Ila umenilinda Ila ulinitunza
Ila unanipenda, nakupe Bure Bure
( Ah Bure Bure) X16
Ndiwe e eh yeah (ndiwewe Mungu wangu)
ndiwee (ndiwewe Mungu wangu)
nakupenda sana (ndiwewe Mungu wangu)
peke yako ( ndiwewe Mungu wangu)
ndiwe e eh yeah (ndiwewe Mungu wangu)
ndiwee (ndiwewe Mungu wangu)
nakupenda sana (ndiwewe Mungu wangu)
ndiwee ( ndiwewe Mungu wangu)
ndiwee e eh yeah (ndiwewe Mungu wangu)
ndiwee (ndiwewe Mungu wangu)
Mungu wa majeshi (ndiwewe Mungu wangu)
Alfa na Omega (ndiwewe Mungu wangu)
............
By Eng.RK &Funke