Pendo Langu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Pendo Langu - Goodluck Gozbert
...
eaa..
mmmmjh..
uafifu wa mbalamwezi haufanyi..
usiku kukwama
ninamengi ila nimetunza ndani
umevumilia mengi ujingawangu
na ukastili madhaifu yangu
achatu nikwambie we ni one in a million
ulilia na huzuni yangu
ukawa mfariji wanguu..
acha tu nikwambie
bola nife mimi unizike wew
i love u ( yesterday )
nitakupendasana ( everyday )
kwenye moyo wangu
kwenye moyo wangu.
i lobe u ( yesterday )
nitakupendasana ( everyday ) ee..
kwenye moyo wangu
kwenye moyo wangu.
eeeii.
tazama tazama machoni uoni..