![Nishazama](https://source.boomplaymusic.com/group1/M04/00/53/rBEeMVxtKPCAN8T3AACARwcHD9A756.jpg)
Nishazama Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Nishazama - Tommy Flavour
...
umanichanjia damu
labda niashumu
mbona walikuacha nyuma
watajilaumu
eeh wanatujaza sumu
tutengane soon
na moyo unanisukuma
kukuacha ngumu
kama ungelikuwa salio
ningekujaza on my phone.
upendo tujaze kwa kilo
tushuke nawe My love
kama ungelikuwa salio
ningekujaza on my phone
ujione wa pekee deario
chorus
Nishazama mazima kwako baby*2
Nakutwisha upendo naomba ubebee*2
Verse2
She is lagging my body
Na usiku usilale
She calls me a sugar
Ananivuruga
Akanishika kweli kweli
I just wanna marry marry her
Kwake siwezi feki
Ndio kwanza inazidi gredi