![Moyo ft. Masauti](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/07/25/ab1367fb79204363a0e9c73c4ce812e7_464_464.jpg)
Moyo ft. Masauti Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2023
Lyrics
Moyo ft. Masauti - Tommy Flavour
...
Ooooooh, oooh
Ooooh (Yogo on the beat)
Moyo wangu,
nipeleke polepole, mana naona spidi yako siiwezi
Moyo we, wangu moyo
Punguzo Shobo uh na kimbele mbele
Coz umezidi najiuliza why, moyo we wangu moyo
Moyo ulifanya nkamchiti Halima
Kwa tamaa zako moyo ukanidanganya
Mbele za wafu mi nikafumaniwa
Moyo we, moyo we (moyo)
Nifosi, nifosi najidanganya mie
Sometimes nuksi mikosi, nataka nipitie
Nafeki maisha nakopi, jina nijipatie
Naomba toba kwa magoti, ila niambie
Ni nini unataka (moyo wangu niambie)
Ni nini unataka (sa mbona hueleweki)
Ni nini unataka (mmm moyo)
Ni nini unataka (mmmh moyo)
Ni nini unataka (moyo wangu niambie)
Ni nini unataka (sa mbona hueleweki)
Ni nini unataka (aaaah moyo)
Ni nini unataka (moyo we moyo we)
Kujifungua sumu kali, mbele huponi
Nimeshajifia mbali, niko shimoni
Hali yangu bado tete, ila moyo wangu tamaa tamaa tu
Maamuzi ya kimapepe, nataka nitusue now now eh
Nifosi, nifosi najidanganya mie
Sometimes nuksi mikosi, nataka nipitie
Nafeki maisha nakopi, jina nijipatie
Naomba toba kwa magoti, ila niambie
Ni nini unataka (moyo wangu niambie)
Ni nini unataka (sa mbona hueleweki)
Ni nini unataka (mmm moyo)
Ni nini unataka (mmmh moyo)
Ni nini unataka (moyo wangu niambie)
Ni nini unataka (sa mbona hueleweki)
Ni nini unataka (aaaah moyo)
Ni nini unataka (moyo we moyo eeh
aaaah,, aaaah aaaah