![What’s Love](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/07/25/ab1367fb79204363a0e9c73c4ce812e7_464_464.jpg)
What’s Love Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2023
Lyrics
What’s Love - Tommy Flavour
...
Oh nana mama ah
Ouaah
Haya mapenzi yako vipi Wallahi
Nimeahashindwa moyo ushanikinai
Mana nikisema niwe mwongo maybe
Mwisho wa siku lazima yakukatae
Kupenda cheche maumivu wengiii
Presha daily iih
Unipende kweli
Nikusaliti kwa mapenzi feki
Oh maybe this kind of love eeh
Nikuhonge vitini every everything
Kisha uninyanyase e
Mama nimwachie nini sasa e
Asikushauri somebody
Hakuna king wala queen wala wala queen
Wala dakitari, eh eh
Ah ngoma icheze mwenyewee
Oh my God what is love eh eh, mie
Moyo ushachanwa ushachanwa eeh, miee
Oh my God what is love eh eh, mie
Moyo ushachanwa ushachanwa eeh, ouaaah
What is love, what is love, what is love
What is love, what is love, what is love
What is love, what is love, what is love baby
What is love, what is love, what is love
What is love, what is love, what is love
What is love, what is love, what is love baby
Pale unapoumizwa
Ooh apa kulipiza, cha kujiuliza
Utaemuumiza ndie, alikuja moyo kuituliza
Nilidhani sipo romantic,
Na pesa juu ila bado hubadiliki
Kupenda kwa hofu
I feel danger, mdhoofu
Oh maybe this kind of love eeh
Nikuhonge vitini every everything
Kisha uninyanyase e
Mama nimwachie nini sasa e
Asikushauri somebody
Hakuna king wala queen wala wala queen
Wala dakitari, e
Ah ngoma icheze mwenyewe