![Numero Uno ft. Tanasha Donna](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/07/25/ab1367fb79204363a0e9c73c4ce812e7_464_464.jpg)
Numero Uno ft. Tanasha Donna Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2023
Lyrics
Numero Uno ft. Tanasha Donna - Tommy Flavour
...
Nikuonapo Napata nawenge
Ukinigusa nakua ka bwege
Mkali umenikata kiwembee
ooh
Kwengine kwa nani niende
Zezeta ushanilisha usembee
So niamini baby
Acha wanaodharau
Eti siku ntakusahau
Nia yao uniteme
Eti nsikupende
We wangu angalau
Umewapiga bao
Najihisi sugar baby
Shida zako nizibebe
You are numero uno mmh
You are numero uno ehh
You are numero uno ehh
You are numero uno, number one
Numero uno para siempre
Mi na wewe baby milele
I’ll never let you down
Even when you’re not around
I’ll always keep it grounded baby
Sweet malani, mmh my chocolate
Adrenaline ever genuine ride for me
They’re all irrelevant
A moi tu peux avoir la confiance
Sogea karibu baby
Uwe namy kama umeme
Oh nipe energy
Oh nipe energy (we yangu roho)
Acha wanaodharau
Eti siku ntakusahau
Nia yao uniteme
Eti nsikupende
We wangu angalau
Umewapiga bao
Najihisi sugar baby
Shida zako nizibebe
You are numero uno
mmh
You are numero uno
ehh
You are numero uno
ehh
You are numero uno, number one
Nisipo kupenda wewe ntampenda nani
Tulipofika mungu wala hatukudhani
Sijakuoa tayari nishakupenda mamy
Mamy mamy mamy
Unanimalizaga vyako vitu flani
Unanitosha wengine wa kazi gani
Nithamini nikuzidishie thamani,
thamani ohh